NI wiki ambayo mashabiki wa soka, wadau, Watanzania na wengine sehemu mbalimbali Afrika na Dunia, wanakwenda kushuhudia kilele cha matamasha ya klabu mbili na kongwe nchini, Simba na Yanga. Jumatano ...
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel imetangaza kwamba Baraza la Mawaziri limeidhinisha rasmi awamu ya kwanza ya mpango wa amani na Hamas. Makubaliano hayo yanajumuisha kuachiliwa kwa mateka wote. Mpango ...
Makubaliano yaliyofikiwa nchini Misri ni sehemu ya mpango wa amani wenye pointi 20 kwa Gaza, kufuatia miaka miwili ya vita vya vibaya vilivyochochewa na shambulio lisilokuwa na kifani la Hamas dhidi ...
María Corina Machado amezaliwa 7 Oktoba 1967 ni mwanasiasa wa Venezuela na mhandisi wa viwanda. Machado ni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Venezuela na aliwahi kuwa mbunge katika Bunge la ...
RAUNDI ya kwanza ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), imemalizika ikiacha majeraha kwa baadhi ya timu huku zingine zikipata mwelekeo mzuri wa mechi zijazo. Uhamiaji ni miongoni mwa timu zilizoanza kwa kufungua ...
MOROGORO: TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa fursa nyingine ya kuongeza muda wa udahili wa shahada ya kwanza katika programu ambazo bado zina nafasi kwenye vyuo vikuu nchini kwa mwaka wa masomo ...
Joseph Kabila alipanda madarakani akiwa na umri wa miaka 29 na kuiongoza DRC kwa karibu miongo miwili. Sasa akiwa uhamishoni na akikabiliwa na mashtaka ya usaliti na kuunga mkono waasi wa M23, ...
Guinea itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza wa urais tarehe 28 Desemba tangu mapinduzi ya mwaka 2021. Haya ni kwa mujibu wa agizo la rais lililosomwa kupitia televisheni ya kitaifa. Tangazo hilo ...
MWIMBAJI wa Bongo Fleva, Pasha alianza muziki akiwa Sekondari huko nyumbani kwao mkoani Mtwara, alipomaliza kidato cha nne mwaka 2005 akaenda Dar es Salaam kwa ajili ya kurekodi wimbo wake wa kwanza.
Jeshi la Israel limesema Jumatano kuwa limepiga "maeneo zaidi ya 150" katika mji wa Gaza tangu kupanua mashambulizi yake ya ardhini Jumatatu jioni. Na Asha Juma na Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results