Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashariki ya Kati ni "nafasi ya mwisho" ya amani katika eneo hilo ...
Msemaji wa serikali ya Israeli Shosh Bedrosian ameviambia vyombo vya habari kwamba tumebakisha saa kadhaa kabla ya kuachiliwa kwa "mateka wetu wote". Na Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Mamlaka nchini ...
Vita vya Urusi dhidi ya Ukraine bado vinaendelea kushika kazi kwenye mstari wa mbele, na katika hotuba yake ya kila siku, Volodymyr Zelensky anakariri matarajio ya Kyiv kwa washirika wake, hasa ...
María Corina Machado ameshinda tuzo hiyo kwa kuendeleza haki za kidemokrasia nchini Venezuela. Ambia Hirsi, Mariam Mjahid & Rashid Abdallah & Asha Juma Chanzo cha picha, Getty Images Serikali ya ...
Rais wa U.S Donald Trump anatarajiwa kukamilisha pendekezo la mpango wa amani wa Gaza anapokutana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, huku Israel ikizidi kuishambulia Gaza City. Tawi ...
Rais mpya wa Syria Ahmed al-Sharaa amekutana na Vladimir Putin mjini Moscow, akitaka “kurekebisha upya” uhusiano kati ya Damascus na Kremlin baada ya kuondolewa madarakani kwa Bashar al-Assad manmo ...