WAWAKILISHI wa Kenya katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Nairobi United jioni hii imewaduwaza mabingwa wa zamani wa Afrika, Etoile du Sahel ya Tunisia kwa kuichapa mabao 2-0. Nairobi United ...
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais anayeongoza, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzishwa kwa mabasi ya umeme kwa ajili ya kuboresha huduma za usafiri wa umma na ...
Idadi ya watalii wa kigeni walioitembelea Japani kuanzia mwezi Januari hadi Septemba mwaka huu iliongezeka hadi milioni 31.65. Ni mara ya kwanza kwenye rekodi kwa idadi hiyo kuzidi milioni 30 katika ...
Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashariki ya Kati ni "nafasi ya mwisho" ya amani katika eneo hilo ...
Umoja wa Mataifa unajitayarisha kupeleka misaada zaidi katika Ukanda wa Gaza, wakati maelfu ya wapalestina waliokimbia makaazi yao wakirejea nyumbani. Hii ni baada ya baada ya Israel na Hamas kutia ...
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel imetangaza kwamba Baraza la Mawaziri limeidhinisha rasmi awamu ya kwanza ya mpango wa amani na Hamas. Makubaliano hayo yanajumuisha kuachiliwa kwa mateka wote. Mpango ...
María Corina Machado ameshinda tuzo hiyo kwa kuendeleza haki za kidemokrasia nchini Venezuela. Ambia Hirsi, Mariam Mjahid & Rashid Abdallah & Asha Juma Chanzo cha picha, Getty Images Serikali ya ...
Makubaliano yaliyofikiwa nchini Misri ni sehemu ya mpango wa amani wenye pointi 20 kwa Gaza, kufuatia miaka miwili ya vita vya vibaya vilivyochochewa na shambulio lisilokuwa na kifani la Hamas dhidi ...
María Corina Machado amezaliwa 7 Oktoba 1967 ni mwanasiasa wa Venezuela na mhandisi wa viwanda. Machado ni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Venezuela na aliwahi kuwa mbunge katika Bunge la ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kwamba Israel na Hamas wamekubali awamu ya kwanza ya mpango wake wa amani wenye vipengele 20, baada ya siku kadhaa ...
Umoja wa Mataifa umekaribisha ripoti mbili zinazoonesha kasi isiyozuilika ya nishati safi. Inatarajiwa kuwa mwaka 2025 huenda ukawa mwaka wa kwanza ambapo uzalishaji wa nishati kwa kutumia mafuta ya ...