Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza mabadiliko kwenye maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, ikifuta kata 10 na kutengua uteuzi wa wagombea saba wa udiwani waliokuwa wamekwisha teuliwa.
Watu wawili wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la abiria la Kampuni ya Mallesa na gari la mizigo iliyotokea katika kijiji cha Rumasa, kata ya Butengorumasa, tarafa ya Buseresere, wilayani ...
MSANII wa Bongo Movies, Zaiylissa amezungumzia maisha yake baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake Haji Manara, akisema hajatingishika na kwamba sasa mambo ndio yanazidi kumnyookea. Zaiylissa ambaye ...
Zaidi ya watu bilioni 1 duniani wanaishi na hali ya afya ya akili. Kuna mikakati ya gharama nafuu, madhubuti na inayowezekana ya kuimarisha, kulinda na kurejesha afya ya akili. Uhitaji wa kuchukua ...
EXCLUSIVE: Lionsgate Television is expanding its young adult content, optioning Jennifer Lynn Barnes’ bestselling book series The Inheritance Games for development as a scripted series. The project ...
An engineering storeman sacked for greeting a manager 'top the morning to ya' in a mock Irish accent has won a £16,000 payout for unfair dismissal. Karl Davies, then 57, was working at the Oscar Mayer ...
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeweka mpango maalum kufanikisha ongezeko la mazalia ya samaki ndani ya Ziwa Victoria kiwango ambacho kimetajwa kushuka siku hadi siku kutokana na uvuvi haramu.
On TiKTok, Ely responded to an episode of the “Dogshow Divas” podcast hosted by comedians Macoy Dubs and Baus Rufo, where the two wondered out loud how to pronounce Ely's last name. “Ang tamang ...
Waziri Mkuu wa Qatar na wajumbe kutoka Uturuki wataungana na wajumbe wa Hamas na Israel nchini Misri (08.10.2025) katika siku ya tatu ya mazungumzo ya kutafuta kumaliza vita vya Gaza. Mazungumzo haya ...
LISBON, URENO: NYOTA wa soka duniani Cristiano Ronaldo amekiri kutumia teknolojia ya akili bandia (AI) kuandaa hotuba yake katika hafla ya utoaji tuzo za Portugal Football Globes, baada ya kupokea ...