Hali hiyo inajirudia Madagascar: jeshi limedai siku ya Jumanne "kuchukuwa mamlaka," na kumaliza vyema utawala wa Andry Rajoelina, ambaye aliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2009 chini ya ...
Kila baada ya miaka mitano, macho ya Watanzania na hata ya mataifa jirani huishia Zanzibar. Ingawa ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uchaguzi wa Zanzibar hujitofautisha kwa njia nyingi za ...
Raila Odinga alikuwa mmoja wa watu mashuhuri wa kisiasa nchini Kenya licha ya kuwania urais mara tano bila mafanikio. Kwa miaka kadhaa, mwanasiasa huyo mkongwe aliibuka kuwa kiongozi shupavu na ...
Karibu watu 14 wamefariki dunia kufuatia kuporomoka kwa mgodi huko El Callao, Venezuela baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo la kusini mashariki. Kulingana na shirika la uokoaji vifo hivyo ...
Waziri Mkuu wa Qatar na wajumbe kutoka Uturuki wataungana na wajumbe wa Hamas na Israel nchini Misri (08.10.2025) katika siku ya tatu ya mazungumzo ya kutafuta kumaliza vita vya Gaza. Mazungumzo haya ...
Filmmaker Yogesh Pagare, known for his Amazon-released feature Ek Tha Hero and the short film Mulakaram that garnered over 30 million views across digital platforms, is now set to bring one of ...
LISBON, URENO: NYOTA wa soka duniani Cristiano Ronaldo amekiri kutumia teknolojia ya akili bandia (AI) kuandaa hotuba yake katika hafla ya utoaji tuzo za Portugal Football Globes, baada ya kupokea ...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imewahukumu ndugu wa damu kifungo cha miaka isiyopungua 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuishi kama mke na mume. Ndugu hao watoto wa baba na mama ...
Zaidi ya watu bilioni 1 duniani wanaishi na hali ya afya ya akili. Kuna mikakati ya gharama nafuu, madhubuti na inayowezekana ya kuimarisha, kulinda na kurejesha afya ya akili. Uhitaji wa kuchukua ...
Hatua ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa Bara la Afrika imefika ukingoni, huku Cape Verde na Cameroon zikitarajiwa kupambana vikali leo kuwania nafasi ya mwisho ya kufuzu moja kwa moja kutoka Kundi D.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kwamba Israel na Hamas wamekubali awamu ya kwanza ya mpango wake wa amani wenye vipengele 20, baada ya siku kadhaa ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza mabadiliko kwenye maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, ikifuta kata 10 na kutengua uteuzi wa wagombea saba wa udiwani waliokuwa wamekwisha teuliwa.