Tangazo la IGP Wambura, limekuja saa chache kupita tangu kufungwa rasmi kwa zoezi la upigaji kura nchi nzima, baadhi ya maeneo kura zikiwa zimeanza kuhesabiwa. Majira ya asubuhi, polisi kwenye maeneo ...
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), amesema akiingia madarakani atavunja bodi zote zinazosimamia bidhaa za wakulima kwa sababu hazina msaada kwa Wakulima. Amesema nchi hii ina watu ...