Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shaib Kaduara ametembelea banda la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwenye Maonesho ya Nanenane ...
KURA za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimetikisa uringo wa siasa nchini: Vurugu, malalamiko na ushindi wa kusisimua vimesikika katika baadhi ya maeneo. Mchakato huo wa kura za maoni ...