Mvutano wa kibiashara kati ya Marekani na China umechukua sura mpya baada ya mataifa hayo mawili kuanza kutozana ada za bandari kwa kampuni za usafirishaji baharini. Marekani na China zimeanza rasmi ...
Dawa zilizotengenezwa mataifa ya Magharibi zimeokowa mamilioni ya watu, lakini wakati wa ukoloni, chanjo nyingi zisizo salama zilijaribiwa kwa Waafrika bila wenyewe ...
Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 38, anatarajiwa kusaini mkataba mpya na klabu ya soka ya Marekani Inter Miami. (Fabrizio Romano) Arsenal na Tottenham ni miongoni mwa vilabu vya Ligi ya Premia ...
Taasisi ya haki miliki ya muziki nchini Kenya inakabiliwa na shutuma kali kutoka kwa wasanii wa muziki wanaodai limekuwa haliwalipi pesa zao kulingana na kazi yao ...
WAUZAJI dawa za kulevya wamebadili mbinu, wakiibuka na njia mpya, zikiwamo za medani za kivita, ili kukwepa kukamatwa, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imethibitisha. Kwa ...
TAASISI ya Kilimo Tanzania (TARI) Kituo cha Seliani, imegundua aina mbili mpya za mbegu za maharage zenye viinilishe vya madini chuma na zinki, kuimarisha afya kwa wananchi na kukinzana na magonjwa ...
KIUNGO mahiri wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka wazi malengo yake ya msimu huu akisema anataka kufunga mabao 15, huku akimpa maua kocha Florente Ibenge. Fei Toto ambaye aliyewahi kuichezea ...
NI muda sasa Nandy na Zuchu wamekuwa wakijitahidi kufanya kazi bora zaidi ili kudhihirisha uwezo wao kimuziki, jambo lililoleta ubunifu na motisha kwa wasanii wengine wa kike ndani ya Bongofleva.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuzindua Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2025, Oktoba 10 yanayofanyika kwenye viwanja vya Uhindini jijini Mbeya kuanzia Oktoba 8-14. Waziri wa Nchi Ofisi ...
MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Brigedia Jenerali Hosea Ndagala amewataka wadau wa usimamizi wa maafa nchini kutoa mapendekezo yenye tija ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results