Siku moja tu baada ya kuimarisha umaarufu wake kwa kujishindia mataji mawili ya tuzo za Afrimma mwanamuziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz anaendelea kuvutia mashabiki wapya kila uchao. Alishangazwa ...