Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameongoza uzinduzi wa programu mpya ya “Konekt Umeme, Pika kwa Umeme” iliyobuniwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika viwanja vya Mwembe ...
Kanisa Katoliki la Kenya limeanzisha aina mpya ya divai ya madhabahuni kwa ajili ya Misa Takatifu baada ya ile ya awali kupatikana kwa wingi katika baa za mitaani. Kinywaji hicho kipya cha ...
Rais mpya wa Syria Ahmed al-Sharaa amekutana na Vladimir Putin mjini Moscow, akitaka “kurekebisha upya” uhusiano kati ya Damascus na Kremlin baada ya kuondolewa madarakani kwa Bashar al-Assad manmo ...
SIKU hizi mara nyingi utasikia watu wanatumia muda mrefu kuzungumzia vituko au mambo ya kusikitisha yanayofanywa na madereva wa daladala na bodaboda. Haya ni mabadiliko makubwa ukilinganisha na hali ...
Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashariki ya Kati ni "nafasi ya mwisho" ya amani katika eneo hilo ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inatarajia kujenga hospitali mbili kubwa za rufaa zitakazotoa huduma za ...
DAR ES SALAAM: Katika zama ambazo jamii inahitaji viongozi wenye maono, vijana wenye ujasiri, na watetezi wa haki zenye mwelekeo wa kijamii, toleo la tano la shindano ya Victory Attorneys National ...
Vita vya Urusi dhidi ya Ukraine bado vinaendelea kushika kazi kwenye mstari wa mbele, na katika hotuba yake ya kila siku, Volodymyr Zelensky anakariri matarajio ya Kyiv kwa washirika wake, hasa ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limeonya kuwa usugu wa bakteria dhidi ya viuavijasumu vya kawaida unaongezeka kwa kasi duniani, hali inayotishia afya ya watu na mafanikio ya tiba za ...
Israel inatarajia mateka kuachiliwa Jumatatu asubuhi;Trump akijiandaa kwa ziara ya Mashariki ya Kati
Msemaji wa serikali ya Israeli Shosh Bedrosian ameviambia vyombo vya habari kwamba tumebakisha saa kadhaa kabla ya kuachiliwa kwa "mateka wetu wote". Na Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Mamlaka nchini ...
NI muda sasa Nandy na Zuchu wamekuwa wakijitahidi kufanya kazi bora zaidi ili kudhihirisha uwezo wao kimuziki, jambo lililoleta ubunifu na motisha kwa wasanii wengine wa kike ndani ya Bongofleva.
Shirika la Afya Duniani WHO, leo limeonya juu ya kupungua kwa kasi ya hatua za kimataifa za kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza NCDs na matatizo ya afya ya akili, likisema kutofanya chochote ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results