Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashariki ya Kati ni "nafasi ya mwisho" ya amani katika eneo hilo ...
Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman maarufu kama nom de guerre Ali Kushayb, anakabiliwa na makosa 31ya uhalifu ikiwemo ubakaji, mauaji na mateso yaliotekelezwa jimboni Darfur kati ya 2003 hadi Aprili 2004.
Israel inatarajia mateka kuachiliwa Jumatatu asubuhi;Trump akijiandaa kwa ziara ya Mashariki ya Kati
Msemaji wa serikali ya Israeli Shosh Bedrosian ameviambia vyombo vya habari kwamba tumebakisha saa kadhaa kabla ya kuachiliwa kwa "mateka wetu wote". Na Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Mamlaka nchini ...
María Corina Machado ameshinda tuzo hiyo kwa kuendeleza haki za kidemokrasia nchini Venezuela. Ambia Hirsi, Mariam Mjahid & Rashid Abdallah & Asha Juma Chanzo cha picha, Getty Images Serikali ya ...
Rais wa U.S Donald Trump anatarajiwa kukamilisha pendekezo la mpango wa amani wa Gaza anapokutana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, huku Israel ikizidi kuishambulia Gaza City. Tawi ...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza serikali mpya yenye mchanganyiko wa sura mpya na za zamani chini ya Waziri Mkuu Sebastien Lecornu, hatua inayolenga kuokoa taifa hilo lililogawanyika. Rais ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results