Jenerali Jacob John Mkunda amesema kuwa jeshi linashirikiana na vyombo vingine vya usalama kudhibiti hali ya usalama nchini ...
Rais wa Marekani Donald Trump amelihutubia Bunge la Israel mchana wa leo, akisema ni siku ya kihistoria na mwanzo wa enzi mpya kwa kanda nzima ya Mashariki ya Kati. Rais Trump amewaeleza wabunge wa ...
Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashariki ya Kati ni "nafasi ya mwisho" ya amani katika eneo hilo ...
Vita vya Urusi dhidi ya Ukraine bado vinaendelea kushika kazi kwenye mstari wa mbele, na katika hotuba yake ya kila siku, Volodymyr Zelensky anakariri matarajio ya Kyiv kwa washirika wake, hasa ...
María Corina Machado ameshinda tuzo hiyo kwa kuendeleza haki za kidemokrasia nchini Venezuela. Ambia Hirsi, Mariam Mjahid & Rashid Abdallah & Asha Juma Chanzo cha picha, Getty Images Serikali ya ...
Rais wa U.S Donald Trump anatarajiwa kukamilisha pendekezo la mpango wa amani wa Gaza anapokutana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, huku Israel ikizidi kuishambulia Gaza City. Tawi ...