“Is Dini Petty still alive?” a man asked about the woman who once lived inside Canadian living rooms every morning. About the pink-jumpsuited helicopter pilot turned daytime television star who was as ...
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, amemteua Jenerali wa jeshi Ruphin Fortunat Dimbisoa Zafisambo, kuwa Waziri Mkuu mpya, wakati huu kisiwa hicho kinachoendelea kukabiliwa na maandamano ya vijana.
Kundi la waasi la AFC/M23 na serikali ya Kongo wametia saini mfumo wa kusimamia usitishwaji mapigano mjini Doha siku ya Jumanne, Oktoba 14, 2025. Hii inachukuliwa kuwa hatua muhimu katika mchakato wa ...
Rais wa Marekani Donald Trump amelihutubia Bunge la Israel mchana wa leo, akisema ni siku ya kihistoria na mwanzo wa enzi mpya kwa kanda nzima ya Mashariki ya Kati. Rais Trump amewaeleza wabunge wa ...
Rais Donald Trump amethibitisha kuwa atamkaribisha Volodymyr Zelenskiy White House Ijumaa hii kujadili msaada wa kijeshi na makombora ya Tomahawk, huku Urusi ikionya kuwa hatua hiyo ni uchokozi mkubwa ...
Humphrey Polepole amekuwa mwanasiasa maarufu kwa takriban miaka 10 kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Malawi mwaka 2022. Baada ya kuhitimu elimu ya Chuo Kikuu alifanya kazi katika mashirika ...
HADI leo hii mwaka 2024, ukienda kwenye bendi yoyote inayopiga muziki 'laivu', haitomaliza onyesho lake kabla hazijapigwa nyimbo mbili maarufu sana. Ni 'Georgina' na 'Rangi ya Chungwa'. Hata kama ...
Aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya Raila Odinga amefariki akiwa na umri wa miaka 80. Raila amefariki wakati akifanyiwa matibabu katika hospitali moja nchini India kulingana. Rais wa Kenya William Ruto ...
We're now in the fall season of 2025's new anime, but the industry is showing no signs of slowing down. Fresh off Demon Slayer and Chainsaw Man's twin successes in theaters, we've got plenty of TV ...
KWA miaka mingi siasa za Tanzania zilikuwa na sura ya kijinsia iliyotawaliwa na wanaume, hasa kwenye nafasi za juu kama urais na makamu wa rais. Hali hiyo sasa inabadilika kwa kasi ya kusisimua. Mwaka ...
NI muda sasa Nandy na Zuchu wamekuwa wakijitahidi kufanya kazi bora zaidi ili kudhihirisha uwezo wao kimuziki, jambo lililoleta ubunifu na motisha kwa wasanii wengine wa kike ndani ya Bongofleva.
SIMBA Queens ni moja ya timu kubwa na zenye historia katika soka la wanawake nchini Tanzania na Afrika Mashariki na Kati ikiweka rekodi mbalimbali ikiwamo kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results