SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inatarajia kujenga uwanja mwingine mkubwa wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa utakaotumika kwenye fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo Tanzania, ...
Beki wa kushoto wa Al Hilal ya Sudan, Khadim Diaw. KLABU ya Simba kwa sasa inapigana kupata saini ya beki wa kushoto wa Al Hilal ya Sudan, Khadim Diaw, raia wa Senegal ili kuwa mbadala wa nahodha wake ...