Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameambia ...
Humphrey Polepole amekuwa mwanasiasa maarufu kwa takriban miaka 10 kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Malawi mwaka 2022. Baada ya kuhitimu elimu ya Chuo Kikuu alifanya kazi katika mashirika ...
DANSA anayetikisa kupitia wimbo wa Mbosso Khan “Aviola”, Queen Fraison, amefunguka kuhusu kazi yake ya unenguaji ambayo kwa sasa ndiyo inampa zaidi kipato. Queen Fraison amesema, hapendi kucheza ...
INAPOTAJWA figo kwa binadamu, ni kiungo muhimu kinachofanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wa binadamu. Inatajwa, kuondoa taka mwilini kunaweka sawa uzani wa maji na madini ya elektrolaiti ...
NI nadra kusikia mtu ana zaidi ya miaka 100 lakini ana nguvu za kumwezesha kufanya kazi. Wakati mingi watu wa aina hiyo wanaonekana wamechoka, hawawezi kufanya jambo lolote. Ni watu wa kutolewa nje na ...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya kusambaa taarifa za kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, taarifa mpya zimeibuka huku mawakili wake wakifungua kesi ya kutaka ...