Naomba Stara ni miongoni mwa nyimbo za taarabu zinazokubalika na mashabiki wa muziki huo, katika eneo la Afrika mashariki na kati ambapo Rahma Machupa ndie muimbaji wa kibao hicho. Ungana na Steven ...
Siti Binti Saad kutoka kisiwa cha Unguja, Zanzibar, aliivunja miko ya Taarab na akawa mwanamke wa kwanza ambaye hajasoma kuimba mtindo huo wa muziki kwa Lugha ya Kiswahili. Siti binti Saad aliishi ...
Mwimbaji maarufu wa taarabu nchini Kenya Muhammad Khamis Bhallo amefariki dunia katika mji wa Mombasa nchini Kenya . Marehemu Bhallo ambae amefia nyumbani kwake akiwa na umri wa zaidi miaka sitini, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results