Zumbukuku ni miongoni mwa nyimbo zilizofanya vizuri katika muziki wa taarab, hii inashehenezwa na sauti ya kipekee ya kiume inayosikika katika muziki huo, Ally Star ndie aliyeimba wimbo huo; Ungana na ...
Steven Mumbi amefanya mahojiano na Rahama Machupa msanii wa nyimbo za taarab nchini Tanzania.
Siti Binti Saad kutoka kisiwa cha Unguja, Zanzibar, aliivunja miko ya Taarab na akawa mwanamke wa kwanza ambaye hajasoma kuimba mtindo huo wa muziki kwa Lugha ya Kiswahili. Siti binti Saad aliishi ...
Mwimbaji maarufu wa taarabu nchini Kenya Muhammad Khamis Bhallo amefariki dunia katika mji wa Mombasa nchini Kenya . Marehemu Bhallo ambae amefia nyumbani kwake akiwa na umri wa zaidi miaka sitini, ...
Ni mwezi wa pili sasa Msanii mkongwe wa nyimbo za taarab Fatma Bint Baraka Maarufu Bi Kidude yupo ndani amepata ugonjwa wa kisukari hivi sasa. Mwandishi wetu wa huko Zanzibar, Salma Said leo ...