Maelezo ya picha, Ruby Marie alikuwa na umri wa miaka 15 alipolazimishwa kuolewa na mwanamume ambaye hakuwahi kumuona hapo awali ambaye alikuwa na umri mara mbili ya umri wake 26 Februari 2024 Ruby ...
Filamu mpya inayodai kueleza kisa cha wanawake wa Kihindu na Wakristo walioshawishiwa kujiunga na kundi la Islamic State (IS) imezua utata mkubwa nchini India. Hadithi ya Kerala iliyowekwa katika ...
Wanawake wa Zanzibar wamegeuza urithi wa utamaduni wao kuwa darasa la kipekee kwa wageni, wakijenga maisha bora kupitia kikundi cha Mamas of Zanzibar. Katika mitaa tulivu ya Bububu Ngalawa, Zanzibar, ...
Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara ya watumwa. Kwa upande mwengine tunaweza kusema ...