Waziri wa Majeshi ya Ufaransa Sebastien Lecornu anasema kuwa Paris imesitisha ushirikiano wa kijeshi na utawala mpya nchini Gabon. Haya yanajiri huku kiongozi Jenerali Brice Oligui Nguema akiapa kuwa ...
Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika. Muziki huo ulioanza miaka tisini kama aina mpya ya hip pop na R & B ya kitanzania mwanzoni hakupewa ...
Kiongozi mpya wa kijeshi wa Gabon, Brice Oligui Nguema amemteua waziri mkuu mpya siku tatu baada ya kuapishwa kuwa rais wa mpito. Kiongozi mpya wa kijeshi wa Gabon, Brice Oligui Nguema amemteua waziri ...